mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah unagombea Avatar mkuu au unatania?Sijabadili ID mkuu, huyo anae itumia avatar yangu pia nimemuona. But nimesha report kwa moderators ili achukuliwe hatua za kinidhamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah unagombea Avatar mkuu au unatania?Sijabadili ID mkuu, huyo anae itumia avatar yangu pia nimemuona. But nimesha report kwa moderators ili achukuliwe hatua za kinidhamu
Ndo kama unakumbuka kuna mtu alifungua uzi wa kuuliza kwann watu wanatumia id zinazofananaHuyo huyo mwenyewe aliniquote ujinga ujinga nikamuuliza kaka umebadili I'd nikashangaa ushimen toka lini akawa ana mdomo mchafu hivi
Ungebadilisha ww avatar umwache ye atumie ileSijabadili ID mkuu, huyo anae itumia avatar yangu pia nimemuona. But nimesha report kwa moderators ili achukuliwe hatua za kinidhamu
Toba.....[emoji87] [emoji87]Asante sana aliniquote ujinga nilishangaa sana toka lini mm na wewe
Sio nagombea avatar mkuu, hii ni picha yangu halisi na inajulikana pasipo mashaka kwamba hii ni avatar ninayo itumia ni mimi halisi....[emoji52] [emoji52]Hahah unagombea Avatar mkuu au unatania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungebadilisha ww avatar umwache ye atumie ile
Kwakweli lifanyie kazi tuToba.....[emoji87] [emoji87]
Ukweli sijawahi kuwa na tabia za kutoa ama kuandika/quotes maneno mbaya....
Ebu ngoja nilifanyie kazi kabla adabu yangu haija haribuka
Mkuu...Ungebadilisha ww avatar umwache ye atumie ile
Barikiwa sana mtumishi.....[emoji120]Kwakweli lifanyie kazi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu...
Siwezi badili picha yangu eti kwasababu mwingine anaitumia kama avatar...[emoji16] [emoji16]
Huyo tayari anashughulikiwa kama nilivyo mripotia tayari
Kulikoni I...ne[emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niache bana nicheke eti avatar yako [emoji3]Kulikoni I...ne[emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uyo mbaba wa kweny avatar yako namjuaMkuu...
Siwezi badili picha yangu eti kwasababu mwingine anaitumia kama avatar...[emoji16] [emoji16]
Huyo tayari anashughulikiwa kama nilivyo mripotia tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] uyo mbaba wa kweny avatar yako namjua
Akiwa mwenyeji atajuta hizi mambo zakeHujambo mdogo wangu!
Karibu jf mwaya
Atajikataa tuu...Akiwa mwenyeji atajuta hizi mambo zake
Afu wanamwambia afute hata haelewi sijui[emoji23] [emoji23]Akiwa mwenyeji atajuta hizi mambo zake