Naomba nielezwe kuhusu 'Lulu' inayopatikana baharini

Latifaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
501
Reaction score
258
Habarini wana Jf?
Naombeni kujuzwa kwaanae ifahamu lulu ya baharini sijui niite ni madini ya lulu au kito sijajua ipo kwenye group gani?
Kwaanaejua thamani yake na umaarufu wake.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Hahaha lulu hukaa kwenye chanza baharini na hua na mgao na ni moja ya mapambo mazuri
 
Dada latifa hupatikana baharini hua inakaa kwenye chanza kama unawajua kuna aina flan ya chanza wale wakubwa hukaa kwenye kina kirefu cha maji ambacho hua karibu na mafungu ya mchanga kama umewahi kwenda zanzibar utaona mchanga mweupe maeneo yale unaweza kupata au fungu mbaraka luthm huko ziko nyingi lulu mana watu hawafiki kutafuta
 
Sawa thamani yake ikoje? Jee ni sawa na dhahabu?
 
Sawa thamani yake ikoje? Jee ni sawa na dhahabu?
Dada unayo nini?
Maana naona unatafuta kujua bei.


Inakisiwa kuwa na thamani inayoanzia USD300 mpaka USD10,000 kutegemea na aina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…