Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa thamani yake ikoje? Jee ni sawa na dhahabu?Dada latifa hupatikana baharini hua inakaa kwenye chanza kama unawajua kuna aina flan ya chanza wale wakubwa hukaa kwenye kina kirefu cha maji ambacho hua karibu na mafungu ya mchanga kama umewahi kwenda zanzibar utaona mchanga mweupe maeneo yale unaweza kupata au fungu mbaraka luthm huko ziko nyingi lulu mana watu hawafiki kutafuta
Dada unayo nini?Sawa thamani yake ikoje? Jee ni sawa na dhahabu?