Naomba nifahamishwe nama ya kutumia Mti wa MVUNGE kwa maradhi udhaifu wa mwili

Apo kwenye makalio tuje pm? Au wanawake tumekubaliana sasa hatuongezi makalio wakizingua ni petroli tu
 
Sausage tree (Kigeria africana) kumbe kwa kiswahili ndo mvunge!!!!
 
Shukran kaka kwahiy naupataje huu mti Mimi nipo pwani mkuranga huku
 
Utani pemben naupataje kwa ajili ya maradhi nlonayo
 
pole sana mimi ninakupa dawamoja tu kati ya hayo maradhi yake huyo mama mgonjwa. Tiba ya
Udhaifu kwa Ujumla
Atachukua unga wa habat soda kiasi cha kikombe kimoja, uwatu mfano wake na ambari (ambergris) ilioyeyushwa kiasi cha kijiko kidogo, vyote atavichanganya katika chombo chenye asali iwe kama jamu; halafu awe akila kama jamu kila siku na wakati wowote apendao lakini kwa mkate wa ngano asili.Kuhus tatizo la mifupa yake utanitafuta kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjwa wako.
 
Shukran sana πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…