Naomba nifundishwe kumpenda mtu anayenionesha ananidharau direct

hapana utakuwa mtumwa kwake.

Jiulize maswali yafuatayo ..

Je ana kitu chochote cha ziada kinachofanya nimnyenyekee ambacho mimi sina ?

Je kwa nini nijipendekeze kwa mtu huyu,ninatarajia kupata nini kwake ?

Mwisho kabisa : usiwe people pleaser,mtu kama haoneshi interest ya kuongea na wewe unatakiwa umkatae kibabe.

Maisha ni mafupi sana.
 
1. Yawezekana anakupa tough love yaani anakukera ili usiwe comfortable kumtegemea ili ushtuke kutafuta chalo. Wazee wa zamana wangekuongezea kazi na matusi mbele ya wadogo zako ili mradi tu ukimbie mwenyewe

2. Anaweza kuwa ni ile type ya ndugu ambao akiwa na uwezo kukuliko. Anapebda kuabudiwa na kunyenyekewa


Yote kwa yote solution ni kutomtegemea na kujitegemea🙏🏽
 
Eeeeh eeeh aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…