Naomba nifundishwe kumpenda mtu anayenionesha ananidharau direct

Wanasema Adui mpende.Na pia tulipe mabaya Kwa Wema hata vitabu vitakatifu vinasema.Lakini pia wanasema chuki humtesa anayehifadhi.

Naishia na ndugu X ambaye ni nguzo Sana kwenye maisha yangu.Namtegemea Kwa Kila kitu lakini ni yule mtu ambaye anaweza akakutendea mambo ya kukuudhi au kukukera Ilimradi aprovoke feelings mbaya kwako hapo ndipo atajiskia vizuri.

Let's say mkiwa mnafanya discussion ya jambo Fulani unaweza Kuta nampa full attention mpaka kumuuliza maswali kuhusu jambo au story anayoongelea.Lakini inapofika swala la Mimi kuongea jambo lolote au mada yoyote anaondoa attention yake Kwa kuondoa eye contact na kuangalia pembeni na kuanzisha mada nyingine pia ambayo anataka isikilizwe.

Kwahiyo nimekuwa mtu ambaye nikiwa naye sioni umuhimu wa kuongea chochote maana hatakisikiliza.Namkubali Sana ndugu X nasitaki Tena kuteseka Wala kumchukia Kwa hii tabia yake Sababu hata Mungu kakataa tusimpe nafasi Shetani.Na isitoshe kinyongo kitaishia kunitesa huku yeye anadunda na kufurahi.

Msaada nawezaje kuishia Kwa furaha na amani nikiwa na mtu kama huyu.

NB:Hapendi kuniona na furaha ila nikiwa na huzuni nahisi kabisa anaona raha ila nataka nijifunze kumpenda Hivyo hivyo kibishi Ili nisijitese moyo.Maana chuki hummaliza anayehifadhi.Lakini pia anapenda kuniprovoke.
hapana utakuwa mtumwa kwake.

Jiulize maswali yafuatayo ..

Je ana kitu chochote cha ziada kinachofanya nimnyenyekee ambacho mimi sina ?

Je kwa nini nijipendekeze kwa mtu huyu,ninatarajia kupata nini kwake ?

Mwisho kabisa : usiwe people pleaser,mtu kama haoneshi interest ya kuongea na wewe unatakiwa umkatae kibabe.

Maisha ni mafupi sana.
 
1. Yawezekana anakupa tough love yaani anakukera ili usiwe comfortable kumtegemea ili ushtuke kutafuta chalo. Wazee wa zamana wangekuongezea kazi na matusi mbele ya wadogo zako ili mradi tu ukimbie mwenyewe

2. Anaweza kuwa ni ile type ya ndugu ambao akiwa na uwezo kukuliko. Anapebda kuabudiwa na kunyenyekewa

Yote kwa yote solution ni kutomtegemea na kujitegemea🙏🏽
 
Wanasema Adui mpende.Na pia tulipe mabaya Kwa Wema hata vitabu vitakatifu vinasema.Lakini pia wanasema chuki humtesa anayehifadhi.

Naishia na ndugu X ambaye ni nguzo Sana kwenye maisha yangu.Namtegemea Kwa Kila kitu lakini ni yule mtu ambaye anaweza akakutendea mambo ya kukuudhi au kukukera Ilimradi aprovoke feelings mbaya kwako hapo ndipo atajiskia vizuri.

Let's say mkiwa mnafanya discussion ya jambo Fulani unaweza Kuta nampa full attention mpaka kumuuliza maswali kuhusu jambo au story anayoongelea.Lakini inapofika swala la Mimi kuongea jambo lolote au mada yoyote anaondoa attention yake Kwa kuondoa eye contact na kuangalia pembeni na kuanzisha mada nyingine pia ambayo anataka isikilizwe.

Kwahiyo nimekuwa mtu ambaye nikiwa naye sioni umuhimu wa kuongea chochote maana hatakisikiliza.Namkubali Sana ndugu X nasitaki Tena kuteseka Wala kumchukia Kwa hii tabia yake Sababu hata Mungu kakataa tusimpe nafasi Shetani.Na isitoshe kinyongo kitaishia kunitesa huku yeye anadunda na kufurahi.

Msaada nawezaje kuishia Kwa furaha na amani nikiwa na mtu kama huyu.

NB:Hapendi kuniona na furaha ila nikiwa na huzuni nahisi kabisa anaona raha ila nataka nijifunze kumpenda Hivyo hivyo kibishi Ili nisijitese moyo.Maana chuki hummaliza anayehifadhi.Lakini pia anapenda kuniprovoke.
Eeeeh eeeh aiseh
 
Back
Top Bottom