Naomba nifundishwe kumpenda mtu anayenionesha ananidharau direct

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
323
Reaction score
770
Wanasema Adui mpende.Na pia tulipe mabaya Kwa Wema hata vitabu vitakatifu vinasema.Lakini pia wanasema chuki humtesa anayehifadhi.

Naishia na ndugu X ambaye ni nguzo Sana kwenye maisha yangu.Namtegemea Kwa Kila kitu lakini ni yule mtu ambaye anaweza akakutendea mambo ya kukuudhi au kukukera Ilimradi aprovoke feelings mbaya kwako hapo ndipo atajiskia vizuri.

Let's say mkiwa mnafanya discussion ya jambo Fulani unaweza Kuta nampa full attention mpaka kumuuliza maswali kuhusu jambo au story anayoongelea.Lakini inapofika swala la Mimi kuongea jambo lolote au mada yoyote anaondoa attention yake Kwa kuondoa eye contact na kuangalia pembeni na kuanzisha mada nyingine pia ambayo anataka isikilizwe.

Kwahiyo nimekuwa mtu ambaye nikiwa naye sioni umuhimu wa kuongea chochote maana hatakisikiliza.Namkubali Sana ndugu X nasitaki Tena kuteseka Wala kumchukia Kwa hii tabia yake Sababu hata Mungu kakataa tusimpe nafasi Shetani.Na isitoshe kinyongo kitaishia kunitesa huku yeye anadunda na kufurahi.

Msaada nawezaje kuishia Kwa furaha na amani nikiwa na mtu kama huyu.

NB:Hapendi kuniona na furaha ila nikiwa na huzuni nahisi kabisa anaona raha ila nataka nijifunze kumpenda Hivyo hivyo kibishi Ili nisijitese moyo.Maana chuki hummaliza anayehifadhi.Lakini pia anapenda kuniprovoke.
 
Namtegemea Kwa Kila kitu lakini ni yule mtu ambaye anaweza akakutendea mambo ya kukuudhi au kukukera Ilimradi aprovoke feelings mbaya kwako hapo ndipo atajiskia vizuri.
FB_IMG_17228345197390611.jpg
 
Wanasema Adui mpende.Na pia tulipe mabaya Kwa Wema hata vitabu vitakatifu vinasema.Lakini pia wanasema chuki humtesa anayehifadhi.

Naishia na ndugu X ambaye ni nguzo Sana kwenye maisha yangu.Namtegemea Kwa Kila kitu lakini ni yule mtu ambaye anaweza akakutendea mambo ya kukuudhi au kukukera Ilimradi aprovoke feelings mbaya kwako hapo ndipo atajiskia vizuri.

Let's say mkiwa mnafanya discussion ya jambo Fulani unaweza Kuta nampa full attention mpaka kumuuliza maswali kuhusu jambo au story anayoongelea.Lakini inapofika swala la Mimi kuongea jambo lolote au mada yoyote anaondoa attention yake Kwa kuondoa eye contact na kuangalia pembeni na kuanzisha mada nyingine pia ambayo anataka isikilizwe.

Kwahiyo nimekuwa mtu ambaye nikiwa naye sioni umuhimu wa kuongea chochote maana hatakisikiliza.Namkubali Sana ndugu X nasitaki Tena kuteseka Wala kumchukia Kwa hii tabia yake Sababu hata Mungu kakataa tusimpe nafasi Shetani.Na isitoshe kinyongo kitaishia kunitesa huku yeye anadunda na kufurahi.

Msaada nawezaje kuishia Kwa furaha na amani nikiwa na mtu kama huyu.

NB:Hapendi kuniona na furaha ila nikiwa na huzuni nahisi kabisa anaona raha ila nataka nijifunze kumpenda Hivyo hivyo kibishi Ili nisijitese moyo.Maana chuki hummaliza anayehifadhi.Lakini pia anapenda kuniprovoke.
Jifunze act ya ku ignore
 
'Mjinga Mpe Cheo'
Mpuuzie! Kila baya atakalolifanya wewe jifanye hauoni ili ajue ameshinda kumbe ni mjinga mmoja huku mambo yako yanakuendea..!☺️
ya kwamba mjinga mpe cheo! sasa nikushauri huyu kampa unahodha mjinga nikuapie watatumbukia waliwe na mamba au papa!
 
Wanasema Adui mpende.Na pia tulipe mabaya Kwa Wema hata vitabu vitakatifu vinasema.Lakini pia wanasema chuki humtesa anayehifadhi.

Naishia na ndugu X ambaye ni nguzo Sana kwenye maisha yangu.Namtegemea Kwa Kila kitu lakini ni yule mtu ambaye anaweza akakutendea mambo ya kukuudhi au kukukera Ilimradi aprovoke feelings mbaya kwako hapo ndipo atajiskia vizuri.

Let's say mkiwa mnafanya discussion ya jambo Fulani unaweza Kuta nampa full attention mpaka kumuuliza maswali kuhusu jambo au story anayoongelea.Lakini inapofika swala la Mimi kuongea jambo lolote au mada yoyote anaondoa attention yake Kwa kuondoa eye contact na kuangalia pembeni na kuanzisha mada nyingine pia ambayo anataka isikilizwe.

Kwahiyo nimekuwa mtu ambaye nikiwa naye sioni umuhimu wa kuongea chochote maana hatakisikiliza.Namkubali Sana ndugu X nasitaki Tena kuteseka Wala kumchukia Kwa hii tabia yake Sababu hata Mungu kakataa tusimpe nafasi Shetani.Na isitoshe kinyongo kitaishia kunitesa huku yeye anadunda na kufurahi.

Msaada nawezaje kuishia Kwa furaha na amani nikiwa na mtu kama huyu.

NB:Hapendi kuniona na furaha ila nikiwa na huzuni nahisi kabisa anaona raha ila nataka nijifunze kumpenda Hivyo hivyo kibishi Ili nisijitese moyo.Maana chuki hummaliza anayehifadhi.Lakini pia anapenda kuniprovoke.
jikane nafsi yako, beba msalaba wako, mfuate Yesu. LUKA 9:23

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Wakati anakushirikisha mambo yake, msikilize na usichangie lolote/chochote mpaka amalize.
Mwishoni akimaliza; mpe pole kama jambo ni baya, au hongera kama ni jambo zuri.
 
Descipline......"Doing what you hate to do, but doing it like love it"....
 
Sasa si ndo maboss wengi walivyo,isitoshe anaona huna cha maana cha kumshauri,hiyo ipo hata kwenye vikao vya familia,kikubwa endelea kujitafuta sioni haja ya kuwaza ikiwa ndo uhalisia wenyewe.
 
Back
Top Bottom