Mbona jamaa Moja kamera Man Iddi kalembo wa Lindi alishinda hili shindano Mkuu
Mkuu inatosha hiyo million35 ukisha lamba zingine hata ukiwaachia tu hakuna shida,iddi alikuwa country winner tanzania.. ambapo nae alishindanishwa na washindi wenzake wa africa.. hapo ndipo gifted mom akatwaa taji
Sawa mze!
Ni shindano la kampuni ya Total. Competitiln inaitwa Total startupper.
Unaweza ku check na website yao for more info : startupper.total.com
Ukiwa na idea, jinsi ya ku draft business plan unaweza ukapata msaada kutok kwa watu wenye uwezo, au ata ukatafta templates za zilizopo mitamdaoni (Pia kuna application moja ya Wajapan inayotumiwa ku construct businee plans!). Ishu kubwa ni ku develop data (research) ambayo ita drive business plan yko into something meaningful!Duh kila idea yangu ilikuwa nzuri sana Basi ngoja nikomae haya maeneo ya business plan na research sasa next time nifanye vuzuri
Ahsante. Hii info ni ya msaada kwanguSoma small prints
Mara nyingi kuna wanaoweka hayo mashindano au wakati wa kozi na wanakuwa wamesema watakaa nayo na kuitumia.
Ningekushauri pia uwaandikie e-mail kuwauliza na jibu wakikupa.. itakuwa evidence mbeleni.
Pia pekua online reviews za wengine kama wameandika uyajue.. na T&C zao n.k. kama huzielewi tafuta mtaalamu akuelezee
My pleasure mkuuAseh poa kesho nitaleta mashindano mengine uone kama unaweza kuapply
Panga folen kwanz apo...Hebu iweke hapa hiyo proposal tuione kwa ushauri
Rephrase swal lko...tafadhalWakuu nadhani km unatokea hizi nchi zetu ukionyesha idea/s yako inaweza kuleta ajira kwa Watu wengine na sio peke yako na familia yako then utapass au ?
Rephrase swal lko...tafadhal
Hii pia inawezekana kwko ww mshiriki kuiangalia Employment kama changamoto kuu kwenye jamii yako na kutafuta plan ya kuitatua (mostly kwa kutumia business plan yko!). Ila wao wametoa criteria zao 6 ambazo zitakufanya uwe qualified kushirik. Na moja kati ya izo criteria nii hii hapa chini. What u've said will also belong to this criteria(my opinion)...Nilikua nauliza moja ya sababu ya kupewa tick [emoji736] [emoji736] ni kuonyesha ume create employment opportunities kwa watu wengi, as hilo ndio challenge kwa nchi zinazoendelea
Na kwenye case hii ya mashindano yanayofanana na shindano la Total (start upper) ina apply vipi hii unayoisema?!Ninachojua, you can not protect an idea.
Wengi kwenye situation ya kuraise funds au kutafuta partners ambapo wanahitajika kuonyesha business plan, wanachofanya ni kuhakikisha huyo muhusika mwengine ana sign a NON DISCLOSURE AGREEMENT (NDA) kabla hajaonyeshwa hiyo business plan au iyo proposal.
Kusema kweli kwa situation kama hii iko very complex,Na kwenye case hii ya mashindano yanayofanana na shindano la Total (start upper) ina apply vipi hii unayoisema?!
Unajua Total ni multinational corporation, kwa kifupi hawawezi kufanya competition kama hiyo without seeking legal advice on how to avoid legal disputes which may arise.Na kwenye case hii ya mashindano yanayofanana na shindano la Total (start upper) ina apply vipi hii unayoisema?!