Mbona jamaa Moja kamera Man Iddi kalembo wa Lindi alishinda hili shindano Mkuu
iddi alikuwa country winner tanzania.. ambapo nae alishindanishwa na washindi wenzake wa africa.. hapo ndipo gifted mom akatwaa taji
hata ya iddi haikuwa ya kizembe.. alikuwa anapiga picha na kusafisha hapo hapo kwa kutumia boda boda.. na betri ya gari