Naomba nijibiwe hili swali

Naomba nijibiwe hili swali

Uchafu ni tabia....huyo kabobea upande wa uchafu
 
Sasa nani kavaa ungesema "amevaa" sio "unavaa" mm sijavaa siku saba
 
Mwanaume anatakiwa awe Na boxer Tano! Na bukta tatu! Kila boxer ivaliwe siku moja! Bukta itamsaidia iwapo boxer zake zote zitakua chafu! Badala take ndo atavaa bukta maximum siku mbili ili kukamilisha week!
 
Mimi ndiyo maana nimeacha kuvaa boxer.
Acha kitu ipigwe na upepo bwana,maisha yenyewe mafupi haya yanini kujibanabana!!
 
Back
Top Bottom