sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 183
Kupitia kurasa zangu Facebook, imstagram pamoja jamii forums ambapo huwa natumia jina la SANGU JOSEPH nimekuwa nikiweka makala mbalimbali nikiwa natumia Hashtag za [HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG].
Sasa nimeona bora nijipogeze kwa sababu moja kati ya makala zangu imayosema "udhaifu huu wa alikiba unamfanya DİAMOND ANG'are" zimetumika katika page kubwa maarufu nchini kama vile
Congratulations to me