Naomba nijue mapemaaaa....!

Naomba nijue mapemaaaa....!

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
Jamani mwenye ujuzi naomba anijibu maswali haya mapemaa! Hivi KUDISCO inakuwaje kuwaje? Na mitihani ni baada ya muda gani? Na pia UKIDISCO inakuwaje? NA GPA ndio nini?
 
kudisco inategemea wapi umekosea au umeshindwa ku meet vigezo,naomba nitumie chuo changu kama ref,MUCCoBS(SUA),kama ukikamatwa na kibuti tayar umedisco,kama GPA yako itakuwa chini ya 2.0,kama ukiwa na incomplete course work kwa maana ya kukosa kimoja kati ya hivi,assignment,test,quiz,presentation tayar umejifukuzisha mwenyewe,kama usipo sign in au sign out kipindi cha mtihani pia ni disco,usipofanya mtihani wa mwisho hata mmoja bila taarifa rasmi iliyothibitishwa na dean,utakuwa pia umedisco nk. GPA ni Grade avarage ya matokeo yako ya mitihani,so GPA ndo kipimo cha ufaulu wako,zifuatazo ni GPA zinazopatikana chuon 1st class(4.4-5.0) upper second(4.3-3.5) lower second(3.4-2.2.5) lower class(2.4-2.0),na ili kupatikana inahesabiwa hv
A=5 B+=4 B=3 C=2, D,E,F hizo ni supplimentary"SUP" Na kwa SUA 50 ndo "C" chini ya hapo umesup! Bt vyuo vingine C ni 41, So jumla ya matokeo yako ndo wanajumlisha kwa vigezo hvyo hapo juu na mwisho wanapata GPA yako. Kama una swali uliza mdogo wangu..
 
Jamani mwenye ujuzi naomba anijibu maswali haya mapemaa! Hivi KUDISCO inakuwaje kuwaje? Na mitihani ni baada ya muda gani? Na pia UKIDISCO inakuwaje? NA GPA ndio nini?

kudisco inategemea wapi umekosea au umeshindwa ku meet vigezo,naomba nitumie chuo changu kama ref,MUCCoBS(SUA),kama ukikamatwa na kibuti tayar umedisco,kama GPA yako itakuwa chini ya 2.0,kama ukiwa na incomplete course work kwa maana ya kukosa kimoja kati ya hivi,assignment,test,quiz,presentation tayar umejifukuzisha mwenyewe,kama usipo sign in au sign out kipindi cha mtihani pia ni disco,usipofanya mtihani wa mwisho hata mmoja bila taarifa rasmi iliyothibitishwa na dean,utakuwa pia umedisco nk. GPA ni Grade avarage ya matokeo yako ya mitihani,so GPA ndo kipimo cha ufaulu wako,zifuatazo ni GPA zinazopatikana chuon 1st class(4.4-5.0) upper second(4.3-3.5) lower second(3.4-2.2.5) lower class(2.4-2.0),na ili kupatikana inahesabiwa hv
A=5 B+=4 B=3 C=2, D,E,F hizo ni supplimentary"SUP" Na kwa SUA 50 ndo "C" chini ya hapo umesup! Bt vyuo vingine C ni 41, So jumla ya matokeo yako ndo wanajumlisha kwa vigezo hvyo hapo juu na mwisho wanapata GPA yako.MITIHAN KUNA TEST NA FINAL,TEST KWA MUCCoBS mwalimu wa somo ndo anawapangia lini mfanye mtihani wake,FINAL inafanya baada ya miezi minne kwa maana ya mwisho wa semister. Kama una swali uliza mdogo wangu..
 
Mkuu Apex, umefafanua vizuri sana na nakupongeza. Kwa kuongezea tu ni kwamba endapo kuna mtu anahitaji kuelewa zaidi kuhusu taratibu za kitaaluma kwa chuo husika ni vema akafika chuoni na kuomba kitabu kinaitwa "PROSPECTUS", humo kuna mchanganuo wa kila kitu juu ya mambo ya kitaaluma kama vile GPA, Disco., Units required, etc.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom