Hivi kwa mfano mh. mkuu wa wilaya akatoa amri ya mimi kukamatwa, na nikakamatwa nikawekwa ndani kwa zaidi ya masaa 48, hivi ni sahihi kwa yeye kuniweka masaa yote hayo? na kama sio sahihi naomba ushauri wapi nianzie kupeleka malalamiko yangu.
Kwa wale magwiji wa kufuatilia habari kwenye mitandao ya kijamii e.t.c wajaribu kutabiri huyu jamaa ni nani![emoji1]....mimi nimeshamjua tayari![emoji1]