mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Hivi kwa mfano mh. mkuu wa wilaya akatoa amri ya mimi kukamatwa, na nikakamatwa nikawekwa ndani kwa zaidi ya masaa 48, hivi ni sahihi kwa yeye kuniweka masaa yote hayo? na kama sio sahihi naomba ushauri wapi nianzie kupeleka malalamiko yangu.