Naomba nikumbushwe kama kuna mwanaCCM yeyote aliyejitokeza na kupinga hoja za Heche na Chadema kwa ujumla

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Hivi ni kwa nini CCM wasijibu hoja za CHADEMA? Wanachoogopa ni nini?

1.Heche ametoa madai mazito sana kuhusu mikataba ya rare earth elements. CCM kimya

2.Heche ametoa madai ya kuua viwanda na badala yake fedha yetu kupelekwa nje. CCM kimya.
3. Heche ametoa madai ya kuwa Bi hakuchaguliwa, lakini CCM kimya.

4. Heche ametoa madai ya barabara mbovu, elimu duni lakini CCM kimya.

KWA NINI WANASHINDWA KUJIBU HIZO HOJA? SI WATHIBITISHE TU KAMA HECHE NI MUONGO? SIKU YA KUFA KWA NYANI MITI YOTE UTELEZA
 
Sasa unategemea akina Falsi na Kihongo wajibu hoja nzito kama hizo?
Sisiem kwa sasa hakuna Great thinker wa kudiscuss hoja!
 
Kwani hayo madai ni uwongo au na wewe huna akili...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…