Naomba nisaidiwe mawasiliano ya TCU

Naomba nisaidiwe mawasiliano ya TCU

NDESA BOY

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
104
Reaction score
26
Habar zenu wanna jamvi.

Naomben mnisaidie namba za cm za Hawa viongoz Wa TCU nipo mbali siwezi kufika ofsini kwao Nina shida kwel.

Ni vizuri ukiniandikia na jina lake ili kupunguza usumbufu. Ukiachana na hilo pia sielew kwamba tatizo ni cm Yangu au n TCU mana kila nikifugua naamdikiwa ivi.

"Tabl limit reached. Can't open a new tab until you close one".

Nahitaji msaada wenu tafadhali.
 
Unatumia browser gani kwenye simu, umefungua vitu vingi (tabs) kwenye internet ndio maana haikubali kufungua nyingine na sio tatizo la TCU

+255 (0) 22 2772657

+255 (0) 22 2772891
 
Back
Top Bottom