FurtherOfTheSun
Member
- Aug 31, 2023
- 28
- 72
Msaada wanataaluma wa past papers za ECA
Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia
Dahh ngoja nikuangalizie ya Economics kama nitabahatishaaMsaada wanataaluma wa past papers za ECA
Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia
Nashukuru sana nduguSiku hizi kuna review books ambazo zina mkusanyiko wa hizo past papers, za NECTA.
Kwa hiyo ni bora ukatafuta hivyo vitabu.
Pia pitia tovuti hii Past Papers/Resources – Maktaba by TETEA unaweza kupata baadhi ya past papers za NECTA za masomo yote.
Kila la kheri.

Nashukuru sana ndugu
Umenisaidia pakubwa