Wanaume wengi ni wachafuMwenzangu bora washake manake maji mtihan hata kaka zetu wa kiislam siku hizi hawatumii maji sijui wamekuwaje.....
Wanatuachia sie ukitaka kucheza na mike wewe osha tuWanajuaa tu kujipuliziaaa makwapani huko.kwa babu sijui wanamuachiaga nani
Watakuja we subiri saiv wapo bize na mpira labdaHahaha mwanaume hawapendi kuambiwa ukweli hawakuji hapa
Hahahah wakija tu usisahau kuniitaWatakuja we subiri saiv wapo bize na mpira labda
kwa sisi waislam haifai kukojoa huku ukiwa umesimaWapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,
Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo ujikungute ndo urudishe huyo nyoka wako pangoni vizur????au kama huwezi si utumiee maji kujisafisha jaman??manake mtu unakutaaa ana chumvi chumvi kwa babu balaaa utasema uvinzaa hebu jifunzeni kushake well bwana hatutaki kusikia tuharufu twa mikojo tukiwa tunawavuaaa kisa mna haraka ya kukojoaa!!
Hebu acheni papara wakati wa kujojoaa bwana,kuna wakati mwingine unakutaa watu tushazidiwa na hili baridi kuogaa kablaa ya shughuli unajikuta unachelewa unamrukia baby kwa babu unakutana na chumvi chumvi aaaaaaaaaaaaagh.........stimu zinakata jaman!!!
hebu kuweni makini wakati wa kukojoaa na ukimaliza make sure una shake well then ndo unamrudishe huyo mzee sehemu husika!!!
Mambembe the unstoppable
QUEEN OF ALL WEATHER
Kwani ntakuwepo?? Mi mwnyw nakimbia nguo nilifua jana,[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah wakija tu usisahau kuniita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapovu yatakuwa sio ya nchi hiiKwani ntakuwepo?? Mi mwnyw nakimbia nguo nilifua jana,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaisugua chini hadi inakausha mkojo woteMwenzangu bora washake manake maji mtihan hata kaka zetu wa kiislam siku hizi hawatumii maji sijui wamekuwaje.....
We subiri kwa kona paleee uje uone yatavotiririka hayo mapovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapovu yatakuwa sio ya nchi hii
Kwahiyo huwa mnachuchumaa kama wanawake mkuukwa sisi watt wa kiislam hairuhusiwi kukojoa huku ukiwa umesimama kwani tone la mkojo ni najisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We subiri kwa kona paleee uje uone yatavotiririka hayo mapovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo huwa mnachuchumaa kama wanawake mkuu