Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
- Thread starter
- #61
Ishindie wapi? Haiwezi.Stars itashinda na kufuzu Afcon 2019
Stars haishindi kwa sababu mnaiombea ishinde, inatakiwa ishinde kama ina uwezo. Maombi hana nafasi kwenye mpira.