Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

Bila kuegemea upande wowote.Lesotho akishinda na stars kushinda au timu zote kutoka droo anapita Lesotho.Timu zikilingana pointi wanaangalia mlipokutana nani alivuna pointi nyingi kwa mwenzake.Lesotho amevuna point 4 wakati Stars amevuna pointi moja tu Chamazi.Huu mfumo umeiondoa Msumbiji jana dhidi ya Namibia.Mechi ya kutupeleka AFCON ilikuwa Maseru na siyo hii ya badala yake Amunike akaanza kugombana na wachezaji.Ubashiri wangu ni kwamba Stars itapenya lakini TFF waache kuweka siasa kwenywe mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana tufuzu AFCON lakini nahisi tunawapa wachezaji undue pressure na hizi kelele za akina Bashite. Ni zamu yetu ingeanza siku ya kwanza Kuliko kutegemea mechi moja na kuwaombea mabaya Lesotho.
Lesotho wakishinda hatuna chetu maana tutakuwa na point sawa lakini head to head wapo juu yetu.
 
Tafta mume uolewe, achana na wanaume za watu dada. Mpenzi wangu ana wivu, akijua unataka nikufanye mke wa pili atakuua. Tafta maanaume wako peke yako, mbona wanaume single wako wengi mama angu, kwa nini utusumbue sisi waume za watu???
We punga acha uchawi, uchawi utakusaidia nini?
 
Ndio shida ya kukosa marinda hii.., uchawi utakusaidia nini we punga..?
 
Hatuwezi kushinda. Tusipoteze muda.
 
Achana na waume za watu. Mimi sikutaki nina mwanamke wangu. Wapelekee wanaopenda tigo, mimi sipendi.
Sawa anti losty, ila ukiwa punga halafu ukawa na tabia za kichawi kama hizo mwishowe ni kupewa mimba na majini..
 
Hiyo mitako yako kama ya jamaa unayemtetea humu. Nyie kizazi cha mabwabwa
Sawa anti Sibo, ila unapokuwa punga halafu unaendekeza uchawi namna hii mwishowe ni kupewa mimba na majini, acheni roho mbaya za kichawi.
 
Ushindi wa aina yoyote ule watakaopata Lesotho bila kujali idadi ya magoli utawapa nafasi ya kufuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tuombe tu jamani Taifa star wapate ushindi....wakifungwa leo...baba Keegan, Muro etal mmmh! wataweka wapi nyuso zao...watesi wao watapata nafasi ya kujidai sana....wale wa zee wa mende wameshajiandaa...kunywa mpaka kucheleee.....sasa matokeo tofauti itakuwa maumivu makubwa ambayo yatagusa mpaka lumumba....ila ufipa naona itakuwa kicheko
 
Uko sahihi! Uwezekano wa kupenya ni mkubwa kwa stars ila Tff wajirekebishe
 
Naunga mkono hoja.

Bashite kaua uzalendo wangu kwa Taifa Stars.
 

Well said but how? This is the only way to show people na watu wa TFF that we all against this bashite's thing.
 
Naunga nkono hoja...mia kwa mia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…