Naomba nitoe Shukurani zangu kwa MOD's na JF Members!

With the love of mbege nawapongeza wenye jamvi kwa kutuwezesha 'kukutana' na 'kugawiana' mawili matatu.......
 
da masela humu mnanipa mzuka kichizi yaani
mna poa kifamily zaidi,kama vipi nini poa mwanenu nipo hapa
 
da masela humu mnanipa mzuka kichizi yaani
mna poa kifamily zaidi,kama vipi nini poa mwanenu nipo hapa



DJ BABU,Karibu sana mkuu na ninakutakia kila la heri na mafanikio katika mwaka mpya unaokuja,hii forum tuko kama family na ukishaizoea mwana basi hata hamu ya mitandao mingine kwishney.Na chochote utakachotaka katika life, kimawazo basi usisite kuuliza humu utapata jibu,karibu mwana na enjoy your stay.
 
Nina muda sijaja hapa jamvini kumbe ushabadili avatar? Ile ilikuwa kiboko. Otherwise mambo mazuri na asante kwa yote and stay blessed!

Aisee, bana Genekai ulikuwa wapi, ulienda kula skukuu ya X-mas ktk sayari ya mars nn? Aidha kama ulipatwa na mitihani ya kiduniya pole sana
 
Heri ya Mwaka mpya pia na wewe kaka kiiza pamoja na wana JF wote
 
Mimi hawa ma MODS hawajanifurahisha, kwani ukiweka threads za ukweli wanazikwapua, kama JF ni mtandao wa kijamii ni lazima tuwe tayari kuona na kusikia mawazo ya watu tofauti na tubadilishane mawazo kwa hoja, sio kukimbilia kukwapua tu!, JF inashindwa katika "freedom of speech"!
 

much respect mnyama mweusi
mdogo wako ndo niko ndani kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…