Naomba nitumie nafasi hii kuwataka radhi ndugu zangu. Nimetukanwa leo nikashukuru tu

Naomba nitumie nafasi hii kuwataka radhi ndugu zangu. Nimetukanwa leo nikashukuru tu

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sikujua binti ana harrier, pale nilipaki kwaajili ya kujiongezea ujiko ning'oe chombo.
Sasa wewe kibonge, binti amepaki Harrier, we IST si ungei pack tu kando ya barabara kupunguza jam. yasingekukuta yote hayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa chai hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nimjuavyo mzee mzito Kiduku lilo haya mambo hayakuishia hapo...alipofika nyumbani itakuwa alilia sana na kutafakari inawezekana vipi pande la mtu lijae ndani ya Ist kiasi cha kukosa pumzi, pia amesikitika kwa nini asingechukua namba yake japo amsaidie Ml 50 akanunue gari ili akitupe hicho kitu chake kutoka Toyota.
 
Back
Top Bottom