naomba niulize jambo mwenyekujua

naomba niulize jambo mwenyekujua

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo
swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo

itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9
je watafanyaje?
 
hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo
swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo

itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9
je watafanyaje?
kwani ukiwa jeshi huwezi apply ? network IPO popote pia kuna ems almost kila sehem za Tanzania........
 
nakumbuka mwaka wetu tulisaidiwa kuapply na ndugu zetu waliopo nyumban wkt tupo jkt..kule khs network sahau...bora uangalie guidebook ya tcu..ucheq course unazozitaka afu uache watu wa nymbn wakujazie
 
Back
Top Bottom