Naomba niulize swali kwenu

Naomba niulize swali kwenu

Ila wanawake niwakuwaonea huruma yani wadada niliomaliza nao shule nikiwaangalia sasa hv cjui nisemeje yani utafkl tunapishana miaka kumi na mitano. Niwakuwa wakubwa hatari bora kidogo ambao kipato kinaenda vzr pamoja nakuonekana mashangazi ila wanavutia sasa wale wenye maisha ya kuunga mungu wangu. Na miaka yenyewe ni 33.
 
Back
Top Bottom