Naomba niwachekeshe

Naomba niwachekeshe

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari wana JF mimi ni mgeni humu naomba kupost kichekesho.

Jana nimepika ugali ukawa mbichi

Hahahahahahahahahaha! Dah! Nlicheka sana
 
Habari wana JF mimi ni mgeni humu naomba kupost kichekesho.

Jana nimepika ugali ukawa mbichi

Hahahahahahahahahaha! Dah! Nlicheka sana

Aisee hii ni JF mwanangu subiri kucheka mwenyewe kutokana na replies utakazopata
 
Ndo tayari? Au hiyo ni intro kichekesho Chenyewe kipo njiani?
 
Back
Top Bottom