Kama unajijua Wewe huwa ' Unachukiwa ' kwa Kusema ukweli hasa katika mambo mbalimbali yahusuyo Siasa, Uchumi na Kijamii tafadhali jiorodheshe hapa Jamvini ili nikujue kwani nina mpango kabambe wa Kutengengeza ' Team ' yetu ili tujuane zaidi kwani huenda tukijipanga vyema tukatengeneza Chama chetu Kizuri cha Kisiasa ambacho kitakuja ' Kuwakomboa ' Watanzania wengi.
Nawasilisha.