Naomba niwajue ' Team Damu ya Kunguni / Wasema Ukweli Daima ' Wenzangu hapa Jamvini!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama unajijua Wewe huwa ' Unachukiwa ' kwa Kusema ukweli hasa katika mambo mbalimbali yahusuyo Siasa, Uchumi na Kijamii tafadhali jiorodheshe hapa Jamvini ili nikujue kwani nina mpango kabambe wa Kutengengeza ' Team ' yetu ili tujuane zaidi kwani huenda tukijipanga vyema tukatengeneza Chama chetu Kizuri cha Kisiasa ambacho kitakuja ' Kuwakomboa ' Watanzania wengi.

Nawasilisha.
 
Nipo hasa mimi kwenye mada zako huwa unanichukia kwa kukwambia ukweli,kwenye timu usinikose kaka GENTAMYCINE.
 
Back
Top Bottom