Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Umeshamzalia mayele mtoto?Makolo yanapita kimya kimya
Nyie makolo hivi Mayele alivyowapiga kimoja cha nguruwe katika ngao ya jamii mmemzalia mtoto?Umeshamzalia mayele mtoto?
Akili za Mashabiki wa utopolo.
Watawasumbua ila watapigwaDah! Ila Coastal wako vizuri sana kwa hizi siku za karibuni. Timu ina vijana wengi na wenye ari kubwa ya ushindi na mafanikio.
Haitashangaza kuwasumbua wananchi kwenye hizo mechi mbili.