Naomba niwajuze mapema msije mkajifanya mmesahau

Naomba niwajuze mapema msije mkajifanya mmesahau

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Mechi ijayo ya NBC PL, Yanga akimfunga Coastal Union, anatwaa Ubingwa wa NBC PL.

Kwa maana hiyo Ubingwa wa Yanga wa NBC PL upo mikononi Kwa Coastal Union!

Kisha Yanga akimfunga Coastal Union kwenye fainali ya Azam Conf Cup, Yanga atatwaa Ubingwa!

Kwa maana hiyo Ubingwa wa Azam Conf Cup wa Yanga upo mikononi mwa Coastal Union!

Sasa Coastal Union WANAENDA mkabidhi Yanga Mataji mawili muhimu nchini mwaka huu

Msije walaumu Coastal Union Kwa vyovyote vile, Kumbukeni ninyi wenyewe mlitukabidhi Ngao ya Hisani, na mkatukabidhi fainali ya Azam Conf Cup

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_16534745978452115.jpg
wivu mwingine
 
Nyie utopolo ebu kuweni na heshima kidogo, jina gani hilo unalotumia kuwakilisha wawakilishi waliowawakilisha kwenye uwakilishi mlioshindwa kutuwakilisha CAF?
 
Dah! Ila Coastal wako vizuri sana kwa hizi siku za karibuni. Timu ina vijana wengi na wenye ari kubwa ya ushindi na mafanikio.

Haitashangaza kuwasumbua wananchi kwenye hizo mechi mbili.
 
Coastal hii ya mgunda sio ya kipole pole msijiaminishe Sana .
Vijana wanapiga mbungi ya hatar Hadi sio poa.
Kila la kheri sisi ni watazamaji tu.
 
Dah! Ila Coastal wako vizuri sana kwa hizi siku za karibuni. Timu ina vijana wengi na wenye ari kubwa ya ushindi na mafanikio.

Haitashangaza kuwasumbua wananchi kwenye hizo mechi mbili.
Watawasumbua ila watapigwa
 
Back
Top Bottom