Naomba niwakumbushe kwamba tutahukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu

Ukisoma kwa makini maandiko, Mungu hanaga issue na wala mbususu, Mfalme Daudi alichakata mbususu nyingi sana hali kadhalika mwanae Solomon. Tuongeze matendo mema
 
Kuna wale wenzangu na mimi ambao tunashinda kwenye majumba ya ibada na kufanya sala ndefu ila tukitoka huko tunafanyia wenzetu ubaya, tunakumbushwa kwamba, sala siyo kipimo cha kuamua wapi tutaenda, ni matendo yetu[emoji1752][emoji1545]
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…