Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Nachukia sana magari ambayo huwa yanataka yabembelezwe,yapetiwepetiwe kila saa,yachombezwe mara kwa mara.Mara yadai mahaba na kadhalika!
Ila wenye harrier sasa...! Utasikia chuma iko comfortable sana! Kwanza mm nakataa ile sio gari ya juu...🤣🤣 hebu angalia kule uvunguni kwake vitu vinavyoning'inia 😂😂😂 ground clearence haiko clear kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Yani humo humo mzee halafu inaitwa SUV unajiuliza hawa Fuji Heavy Industries walikuwa wanafikiria kwa kutumia kichwa kipi?

SUV gani ambayo huwezi hata kuweka kishoka? Kwa nje unaonekana bega tu na kichwa🤓🤓🤓😝😝😝nina jamaa yangu anasema hio gari hata siipendi mzee nimeendesha imprezza tu imenichosha ipo chini mno!
Hizi imprezza zilizojaa bongo hivi karibuni uwa naziona kama ist zilizochangamka tu 😀
 
Vanguard anaweza kuwa nje ya bajeti kidogo japo kwa sasa kodi zimeshuka ajaribu kupambana lakini... Klugger kiboss hasa ile 240 ya 4 cylinder... Inanusa kimtindo
akiote anamvua mtu kwa 25, ila ambayo haijasajiliwa bado hapa bongo za kuanzia 2010 aongeze kuanzia 33+ anaweza pata, kuna moja nilikuta wanaiuza 34.. ila nafuu klugger kuliko huo uchafu subaru 🐵🐵🐵
 
Wakuu VW hio kuna polo na golf ipi kali
IMG_2923.jpg

IMG_2922.jpg

IMG_2921.jpg

IMG_2920.jpg

IMG_2924.jpg
 
Back
Top Bottom