Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Nachukia sana magari ambayo huwa yanataka yabembelezwe,yapetiwepetiwe kila saa,yachombezwe mara kwa mara.Mara yadai mahaba na kadhalika!
Ila wenye harrier sasa...! Utasikia chuma iko comfortable sana! Kwanza mm nakataa ile sio gari ya juu...🀣🀣 hebu angalia kule uvunguni kwake vitu vinavyoning'inia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ground clearence haiko clear kabisa 🀣🀣🀣🀣
 
Hizi imprezza zilizojaa bongo hivi karibuni uwa naziona kama ist zilizochangamka tu πŸ˜€
 
Vanguard anaweza kuwa nje ya bajeti kidogo japo kwa sasa kodi zimeshuka ajaribu kupambana lakini... Klugger kiboss hasa ile 240 ya 4 cylinder... Inanusa kimtindo
akiote anamvua mtu kwa 25, ila ambayo haijasajiliwa bado hapa bongo za kuanzia 2010 aongeze kuanzia 33+ anaweza pata, kuna moja nilikuta wanaiuza 34.. ila nafuu klugger kuliko huo uchafu subaru 🐡🐡🐡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…