Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Heshima kwenu.
Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie.
Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo.
Asanteni.
 
Nenda JF store kuna chimbo kule ..ila usimuambie mtu! Si unajua ni biashara za watu.🤔
 
Mimi ninavyo 4 lakini sikumbuki majina yake Kwa usahihi. Kuna Kisasi, njama, kufa na kupona etc....

Pia ninavyo vya alf lela u leta vitabu Tisa! Zile hadithi ni noma. Utakutana na visa kama vile ndoto za Ali nacha na Alladin na taa ya ajabu!
 
Kikomo No 1&2
Sanda ya Jambazi
Mteko vanu Maputo
Niliwahi sikia kwamba Kuna kitabu Cha huyu mwamba kilipigwa ban, kutokana na high contents za ujasusi. Sijui ni kweli, I stand to be corrected.
 
Heshima kwenu.
Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie.
Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo.
Asanteni.
Mwandishi ni Edwin Semzaba nadhani kama sijachanganya. Mhusika Mkuu kwenye vitabu ni willy Gamba
 
Mimi ninavyo 4 lakini sikumbuki majina yake Kwa usahihi. Kuna Kisasi, njama, kufa na kupona etc....

Pia ninavyo vya alf lela u leta vitabu Tisa! Zile hadithi ni noma. Utakutana na visa kama vile ndoto za Ali nacha na Alladin na taa ya ajabu!
una pdf mkuu?
 
INGIA BLOG MOJA INAITWA buresiries alafu ingia sehemu imeandikwa WAANDISHI WA SIMULIZI kule hdithi unaipata yote ikiwekwa kwenye vipande vitano
 
Kikomo
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hofu.
Kikosi cha kisasi aiseee bongeee moja la moviee we achaa tu.

Hata hvyo vingine vikali sana ila Kikosi cha Kisasi daaaaaaah acha kabisaa
 
Back
Top Bottom