Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Pole sana Mkuu

Mungu akutangulie katika pambano hilo kuu.

wengi wansema ooh figo..moyo na hili au lile ila wewe umekua mkweli na Amani unayo.ndio la mhimu.

usifanye kosa kusema mfe wengi mana hapo ndio hasaa utawahi kufa kabla ya hao wengi.' Kula vizuri epuka mawazo , ishi kwa Amani bila mpango wa kuambukiza mana ukisema uambukize kumbe unachanganya vya huyu na yule vinakuua haraka kuliko kawaida.
 
HABARI WAKUU;
naomba msaada wa picha ya vidonge vya ARV ili nijiandae kisaikolojia
Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.

Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
20180516_190414.png
 
Back
Top Bottom