Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Hiyo kusema kila rangi na hatua yake sidhani kama ni kweli, kumbuka hivyo vidonge vinatengenezwa na kampuni tofauti hivyo hiyo inaweza kuwa moja ya sababu ya kutofautiana rangi
Hapana.
Kila rangi na hatua yake.
Aliyeathirika mwezi huu hanywi vidonge sawa na aliyeadhirika miaka 4 or 10 iliyopita.

Na ukianza na baadae Cd4 zikapanda kuna dozi yake na zikishuka pia kuna dozi yake.
Na mgonjwa akienda kujisajili anapewa za kufifisha ugonjwa na magonjwa nyemelezi ila akiendelea na dozi basi ababadilishiwa.

Sikatai huenda kila kampuni ina rangi yake.
Ila hizo nne ndizo rangi kuu za dozi ya HIV/AIDS.
Na ndio maana ukibadilisha hospital wanakuuliza uko kwenye dozi ya rangi gani?....nyeupe, bluu, pink or njano?

Kama nitakuwa nimekosea, kama kuna mtaalamu aje kunisahihisha.
 
Vipi mkuu umeloweka dudu kwa mwamama ambaye ana wale wadudu wanaokula kilo nzima ya nyama....

Ila fanya kuwahi hospitali kupewa PEPs drugs mkuu...

Ila ujiandae kisaikolojia....

Goodluck...
hizo PEP ni hayo hayo ma ARV tofauti ni kuwa ww una meza kwa mwezi 1 tu,kisha unapimwa kama unao au huna! kama unao unaendelea na dozi kama kawa.PEP ni sawa na condom ni uhakika kwa 70 only
 
Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.

Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Aisee,
Umekua mtaalam sana mpaka unanitisha, vipi yaliyomo yamo?
Tustuane basi ili nami nianze Dozi
 
Hapana.
Kila rangi na hatua yake.
Aliyeathirika mwezi huu hanywi vidonge sawa na aliyeadhirika miaka 4 or 10 iliyopita.

Na ukianza na baadae Cd4 zikapanda kuna dozi yake na zikishuka pia kuna dozi yake.
Na mgonjwa akienda kujisajili anapewa za kufifisha ugonjwa na magonjwa nyemelezi ila akiendelea na dozi basi ababadilishiwa.

Sikatai huenda kila kampuni ina rangi yake.
Ila hizo nne ndizo rangi kuu za dozi ya HIV/AIDS.
Na ndio maana ukibadilisha hospital wanakuuliza uko kwenye dozi ya rangi gani?....nyeupe, bluu, pink or njano?

Kama nitakuwa nimekosea, kama kuna mtaalamu aje kunisahihisha.
Uko vizuri madam B. Nimependa ufafanuzi wako. Nami nimepata kujua leo
 
Back
Top Bottom