Mh acha masihara kwahyo kwa anayeanza kuumwa anatumia rangi ganina maana unakaribia kwenda mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh acha masihara kwahyo kwa anayeanza kuumwa anatumia rangi ganina maana unakaribia kwenda mbinguni
nyekundu means mtenda dhambiMh acha masihara kwahyo kwa anayeanza kuumwa anatumia rangi gan
Huyo kapiga kavukavu huko hapo uoga umemjaa!Dah! Hongera kwa kuwa muwazi, pambana coz maisha lazima yasonge.
Utakosa papuchi jukwaani hapa fanya mchezo uone!woooow.....!"!!ahsante sana mkuu...kumbe havitishi
Vipi mkuu!!!HABARI WAKUU;
naomba msaada wa picha ya vidonge vya ARV ili nijiandae kisaikolojia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ina maana unakaribia kwenda mbinguni
ina maana unakaribia kwenda mbinguni
Haya majibu yako sky walker, hapana.nyekundu means mtenda dhambi
Hapana.Hiyo kusema kila rangi na hatua yake sidhani kama ni kweli, kumbuka hivyo vidonge vinatengenezwa na kampuni tofauti hivyo hiyo inaweza kuwa moja ya sababu ya kutofautiana rangi
hizo PEP ni hayo hayo ma ARV tofauti ni kuwa ww una meza kwa mwezi 1 tu,kisha unapimwa kama unao au huna! kama unao unaendelea na dozi kama kawa.PEP ni sawa na condom ni uhakika kwa 70 onlyVipi mkuu umeloweka dudu kwa mwamama ambaye ana wale wadudu wanaokula kilo nzima ya nyama....
Ila fanya kuwahi hospitali kupewa PEPs drugs mkuu...
Ila ujiandae kisaikolojia....
Goodluck...
Aisee,Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Kwakweli sijui ila anayeanza anatumia PinkNyeupe ni hatua gan? Maana kuna mtu namjua anatumia nyeupe
Uko vizuri madam B. Nimependa ufafanuzi wako. Nami nimepata kujua leoHapana.
Kila rangi na hatua yake.
Aliyeathirika mwezi huu hanywi vidonge sawa na aliyeadhirika miaka 4 or 10 iliyopita.
Na ukianza na baadae Cd4 zikapanda kuna dozi yake na zikishuka pia kuna dozi yake.
Na mgonjwa akienda kujisajili anapewa za kufifisha ugonjwa na magonjwa nyemelezi ila akiendelea na dozi basi ababadilishiwa.
Sikatai huenda kila kampuni ina rangi yake.
Ila hizo nne ndizo rangi kuu za dozi ya HIV/AIDS.
Na ndio maana ukibadilisha hospital wanakuuliza uko kwenye dozi ya rangi gani?....nyeupe, bluu, pink or njano?
Kama nitakuwa nimekosea, kama kuna mtaalamu aje kunisahihisha.
hahahahahaakumbe zina rangi nzuri hivyo!?[emoji3][emoji1]
Mimi ninayekwambia natumia dozi.Sidhani,sema wabongo tunajifanya wajuaji sana mtu akipata story kwenye vijiwe kahawa tayari anajigeuza mtaalam
mbona ya kawaida tu love bHaya majibu yako sky walker, hapana.
Hongera kwa kusema ukweliMimi ninayekwambia natumia dozi.
Wewe kama hutumii basi hujui lolote.
Siku ukiathirika uje kuweka ushahidi wako hapa