Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Pole sana Mkuu

Mungu akutangulie katika pambano hilo kuu.

wengi wansema ooh figo..moyo na hili au lile ila wewe umekua mkweli na Amani unayo.ndio la mhimu.

usifanye kosa kusema mfe wengi mana hapo ndio hasaa utawahi kufa kabla ya hao wengi.' Kula vizuri epuka mawazo , ishi kwa Amani bila mpango wa kuambukiza mana ukisema uambukize kumbe unachanganya vya huyu na yule vinakuua haraka kuliko kawaida.
 
Aisee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…