Uuuwwwiwiiiiii,Mimi ninayekwambia natumia dozi.
Wewe kama hutumii basi hujui lolote.
Siku ukiathirika uje kuweka ushahidi wako hapa
Ndo ukome.Uuuwwwiwiiiiii,
E Mungu naomba hii iwe ni ndoto na uniamshe sasa hivi kwenye hii ndoto mbaya kuliko ya Jinamizi,
Ameen!!
Sio 3 weeks ni 3 dayskama umefanya tendo la ndoa na mtu within 3 weeks kuanzia leo,wahi fasta hospitali au nicheki dm,kuna njia kupona but kama ni zaid ya 3 weeks pole mkuu
ThanksUko vizuri madam B. Nimependa ufafanuzi wako. Nami nimepata kujua leo
ni 3 weeks mkuu siyo daysSio 3 weeks ni 3 days
Dah,Ndo ukome.
Ulivyokuwa unakuja kula kavu....ushakufa
AmenDah,
Nilikupima kwa macho,
Jinsi ulivyonona nona sikudhani kama ulikua nao,
E Mungu nipe Ujasiri wa kwenda kupima na kisha kupambana na hali yangu ipasavyo,
Ameeeen
Nilivyomuelewa ni kama vile kuna mtu wake anatumia hivyo ana wasiwasi wa maambukizi.Mleta maada hajasema kama ana ukimwi/kaathirika
Lakin nashangaaa mmeanza kumpa pole duuh
Jamani mbona vikubwa Sana kwa nini wasitengeneze vidogoHapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
HahahahJamani mbona vikubwa Sana kwa nini wasitengeneze vidogo
Umevutiwa navyo mkuu?[emoji4] [emoji4]kumbe zina rangi nzuri hivyo!?[emoji3][emoji1]
Huyu hana lolote...ingekuwa ni ngoma kweli asingekuwa na nguvu ya kuingia jf na kuandika huu uzi..chezea ngoma weweJana ulitaka bei ya tv
Leo unauliza rangi yA arv
Ngoja nikonekti dotiz
Jamanii chanjo zije mapema tu vidonge vikubwa mnoHahahah
Yaani hazina tofauti na za dozi ya Thypoid.
Asa shoga mpaka usubiri chanjo ina maana likitokea la kutokea hutakunywa?Jamanii chanjo zije mapema tu vidonge vikubwa mno
Ndo mana wanasemaga hakuna rangi utaacha ona!!!!!Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Hahaah kumbe na wewe muogaJamanii chanjo zije mapema tu vidonge vikubwa mno