Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Wabaya sana nyie.
Mnasababisha vifo vingi sana.Kuna waathirika wanakatishaga dose alafu wanafupisha maisha zaidi.
Hata wanao umwa na kutumia dose wanamjua Mungu pia.
 
Wabaya sana nyie.
Mnasababisha vifo vingi sana.Kuna waathirika wanakatishaga dose alafu wanafupisha maisha zaidi.
Hata wanao umwa na kutumia dose wanamjua Mungu pia.
Kuna mahali nimesema waathirika waache dozi ?
Mtu unaacha dozi kama umepima sio maramoja hata mara tatu na kuona kuwa umepona.
Ujue kuwa kutumia dozi au kuacha dozi ni lazima uruhusiwe na Daktari.
Unapo ninukuu basi useme juu ya kile nilichoandika na sio kunipachikia maneno ambayo sijayasema.
 
Hivi lakini si wanasemaga kuwa kama ukikutana na mtu mwenye maambukizi ya VVU endapo akakutana na mtu asie na maambukizi endapo akapa friction asikuwa na maambukizi ana uweekano wa kupata within 1 hour je kuna ukweli wowote hapo?
 
Bora tudawa tungekuwa tudogo Kama piliton jamani
Hatuwezi kuwa tudogo kama piriton [HASHTAG]#Dinazarde[/HASHTAG] wanadai kuwa kulikoni kumpa mgonjwa makopo mengi ya dawa wamerahisisha kazi na kuchanganya aina zote za dawa katika dawa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…