Bado uelewa wa wabongo kwa suala hili ni mdogo sana na wanajifanya wajuaji. Umenena vyema sana na kwa watumiaji wamekuelewaMimi ninayekwambia natumia dozi.
Wewe kama hutumii basi hujui lolote.
Siku ukiathirika uje kuweka ushahidi wako hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado uelewa wa wabongo kwa suala hili ni mdogo sana na wanajifanya wajuaji. Umenena vyema sana na kwa watumiaji wamekuelewaMimi ninayekwambia natumia dozi.
Wewe kama hutumii basi hujui lolote.
Siku ukiathirika uje kuweka ushahidi wako hapa
Si kweli, kasome zaidiVyeupe ni stage 1
Mkuu siku hizi ukipata hilo tatizo na kukubali matokeo unaishi vizuri tu, kuna watu wanatahabika kwa kisukari na kansa but sio HIV. Yaani maisha yanakwenda poa kabisa,Kwa alivyopost (akitaka kujiandaa kisaikolojia) huenda kavikuta kwenye pochi/begi la mpenzi/mke/mume wake ambae wamekuwa wanakulana laivu bila chenga. Sasa anajua na yeye keshakuwa connected kwenye gridi la taifa lenye kilowatts za kutosha
Nachokiona hio PEP ni kufarijiana tu ila kuna uwezekano ukawa still kwenye grid ya taifa ya kidatu na kihansi!hizo PEP ni hayo hayo ma ARV tofauti ni kuwa ww una meza kwa mwezi 1 tu,kisha unapimwa kama unao au huna! kama unao unaendelea na dozi kama kawa.PEP ni sawa na condom ni uhakika kwa 70 only
Bure au na hela?kama umefanya tendo la ndoa na mtu within 3 weeks kuanzia leo,wahi fasta hospitali au nicheki dm,kuna njia kupona but kama ni zaid ya 3 weeks pole mkuu
Samahani mkuu kwani wazuri hawana virusi, Na mara nyingi hao ndio waathirika wakubwa labda tu uwe unamfahamu na mlishawahi kuonanaHeee nawe mzuri hivyo umeathirika jamani
Haha kwanini mkuu.....Heee nawe mzuri hivyo umeathirika jamani
kumbe zina rangi nzuri hivyo!?[emoji3][emoji1]
Jamani najua ukimwi haubagui ila huyu hakutakiwa aupateSamahani mkuu kwani wazuri hawana virusi, Na mara nyingi hao ndio waathirika wakubwa labda tu uwe unamfahamu na mlishawahi kuonana
Kwanini unasema hivyo mkuu [emoji17][emoji17]....Jamani najua ukimwi haubagui ila huyu hakutakiwa aupate
SawaHaha kwanini mkuu.....
Ni vizuri kujikubali ili maisha yaendelee....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]woooow.....!"!!ahsante sana mkuu...kumbe havitishi
duh mkuu kumbe naww unaish buhongwaAngalia usigongwe na gari huko mtaani ukatangulia ukamuacha mshikaji
Okay nice sana mi cjawahi hata kuviona maana cna ndugu anaeumwaa kwa hiyo unaanza na vyabrangi ipi na unamalizia na vp au vp ni vya hali ya hatari na vp nivya hali ya kawaida.Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Asante.Okay nice sana mi cjawahi hata kuviona maana cna ndugu anaeumwaa kwa hiyo unaanza na vyabrangi ipi na unamalizia na vp au vp ni vya hali ya hatari na vp nivya hali ya kawaida.
Upo sahihi kabisa.Hapana.
Kila rangi na hatua yake.
Aliyeathirika mwezi huu hanywi vidonge sawa na aliyeadhirika miaka 4 or 10 iliyopita.
Na ukianza na baadae Cd4 zikapanda kuna dozi yake na zikishuka pia kuna dozi yake.
Na mgonjwa akienda kujisajili anapewa za kufifisha ugonjwa na magonjwa nyemelezi ila akiendelea na dozi basi ababadilishiwa.
Sikatai huenda kila kampuni ina rangi yake.
Ila hizo nne ndizo rangi kuu za dozi ya HIV/AIDS.
Na ndio maana ukibadilisha hospital wanakuuliza uko kwenye dozi ya rangi gani?....nyeupe, bluu, pink or njano?
Kama nitakuwa nimekosea, kama kuna mtaalamu aje kunisahihisha.
Usijali,vipo vingine vidogo kama pirton.Jamani mbona vikubwa Sana kwa nini wasitengeneze vidogo
Uliviona wapiUsijali,vipo vingine vidogo kama pirton.