Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Mimi ninayekwambia natumia dozi.
Wewe kama hutumii basi hujui lolote.
Siku ukiathirika uje kuweka ushahidi wako hapa
Bado uelewa wa wabongo kwa suala hili ni mdogo sana na wanajifanya wajuaji. Umenena vyema sana na kwa watumiaji wamekuelewa
 
Kwa alivyopost (akitaka kujiandaa kisaikolojia) huenda kavikuta kwenye pochi/begi la mpenzi/mke/mume wake ambae wamekuwa wanakulana laivu bila chenga. Sasa anajua na yeye keshakuwa connected kwenye gridi la taifa lenye kilowatts za kutosha
Mkuu siku hizi ukipata hilo tatizo na kukubali matokeo unaishi vizuri tu, kuna watu wanatahabika kwa kisukari na kansa but sio HIV. Yaani maisha yanakwenda poa kabisa,
 
hizo PEP ni hayo hayo ma ARV tofauti ni kuwa ww una meza kwa mwezi 1 tu,kisha unapimwa kama unao au huna! kama unao unaendelea na dozi kama kawa.PEP ni sawa na condom ni uhakika kwa 70 only
Nachokiona hio PEP ni kufarijiana tu ila kuna uwezekano ukawa still kwenye grid ya taifa ya kidatu na kihansi!
 
Mungu anaponya Ukimwi.
Kwa wale wenye maambukizi tu na (wanaomjua Mungu)

Ukimwomba Mungu kwa bidii hakika unapona Ukimwi.
Wengi nimewashuhudia kwa macho yangu na wamepona kabisa.
1. Hatua ya Kwanza ni lazima umjue Mungu halisi.
(miungu haijawahi kufanya jambo lolote jema kwa binadamu, ushahidi mnao)
2. Hatua ya pili utubu dhambi zako zote kwake, na uahidi utaishi maisha ya kumpendeza yeye siku zako zote.
3. Hatua ya tatu ni kumwomba kwa bidii, kwa uaminifu na utii na kunyeyekea kwa jinsi anavyoelekeza yeye namna ya kumwomba ili akujibu.
(maombi mengine hayajibu kwani yanaombwa tofauti na kanuni zake)
4. Hatua ya nne ni kwenda kupima mara unapoelekezwa kufanya hivyo kupitia hasa ndoto za mafunuo za usiku au mchana
5.Hatua ya tano ni furaha ya kupona.

Mungu halisi hashindwi jambo lolote.

Samahani kwa wale ambao wako mbali Kiroho, hasa Roho Safi ya Mungu.
 
Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.

Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Okay nice sana mi cjawahi hata kuviona maana cna ndugu anaeumwaa kwa hiyo unaanza na vyabrangi ipi na unamalizia na vp au vp ni vya hali ya hatari na vp nivya hali ya kawaida.
 
Okay nice sana mi cjawahi hata kuviona maana cna ndugu anaeumwaa kwa hiyo unaanza na vyabrangi ipi na unamalizia na vp au vp ni vya hali ya hatari na vp nivya hali ya kawaida.
Asante.
Sina uzeofu sana mkuu.
Ila wanasema wanaanza na vya pinki
 
Hapana.
Kila rangi na hatua yake.
Aliyeathirika mwezi huu hanywi vidonge sawa na aliyeadhirika miaka 4 or 10 iliyopita.

Na ukianza na baadae Cd4 zikapanda kuna dozi yake na zikishuka pia kuna dozi yake.
Na mgonjwa akienda kujisajili anapewa za kufifisha ugonjwa na magonjwa nyemelezi ila akiendelea na dozi basi ababadilishiwa.

Sikatai huenda kila kampuni ina rangi yake.
Ila hizo nne ndizo rangi kuu za dozi ya HIV/AIDS.
Na ndio maana ukibadilisha hospital wanakuuliza uko kwenye dozi ya rangi gani?....nyeupe, bluu, pink or njano?

Kama nitakuwa nimekosea, kama kuna mtaalamu aje kunisahihisha.
Upo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom