Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Mungu niepushie kikombe hiki.amen.
We ni mwehu, hiki sio kikombe ni kama unasema ee mungu niepushe na njaa, ukimwi au virusi vya ukimwi unaweza kuvipata hata km ukija kuoa kutoka kwa mwenzi wako au unaweza ukapata kwenye ajali, au hata kwa kujaribu tu kuchepuka siku moja ukawa nao, na moja ya maambukizi makubwa ni kutoka kwa wanandoa so jiangalie mwenyewe, Mungu yupo tayari kukuelekeza kule motoni au peponi, kumbuka ww ni mmoja kati ya watu bilioni 7 duniani so Mwenyezi Mungu yupo bize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aka kauzu aka , kameonyesha wana JF na Experience zao[emoji23][emoji23]

Nahii ndo hali halisi kabisaaa.

Achen kuuza gem kizembe humu .
 
Aiseee watu wawe makin sana humu,, unajua kuna mtu ID hiii anajitangaza ni mgonjwa..lkn ID yapili anakutongoza au anajitongozesha hahahah ....

Alafu mademu sasa ,ndo wengi na niwagumu haoooo kusema balaa[emoji23]
Huwezi kuukwepa...cha umuhimu ni kutokuuza mechi basi
 
Huwezi kuukwepa...cha umuhimu ni kutokuuza mechi basi

Unajua nn chief, hamna vya bure, hamna vinyonge, ,Ukiona mtu anakuambia "Putin nataman tu nisex naww alafu tuachane"[emoji23][emoji23][emoji23]....

Kimbia kwa speed ya Hypersonic
 
Amen
 
Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.

Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Kuna vile vya brown sivioni yaan unakuta vipo mixer kuna brown na vyeupe inakuwa combo km karanga yenye ganda na uliovua ganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…