Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa.

Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa Dodoma,naomba anijuze. Pia kama kuna mtu anaweza nipatia pikipiki yake tuandikishane niwe nampatia kiasi tulichokubaliana kila asubuhi.

Napatikana Dodoma.
0624008133
Natanguliza shukrani
 
Nenda kituo chochote maarufu cha bodaboda watakupa connection
 
Back
Top Bottom