Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Habari zenu ndugu zangu, mambo yamekua magumu kwangu, gharama kubwa za uendeshaji chanzo cha kughaili, mtu niliemtegemea kufanya nae kazi tumeshindwana, mambo yamekwenda kinyume nilivo tegemea.
Sina mdhamini all cost natoa mwenyewe, nimeshindwa rasmi NAOMBENI nijipange usumbufu uliojitikeza sasa hautojirudia tena.
Let's meet 9 APRIL inshallah.
Sina mdhamini all cost natoa mwenyewe, nimeshindwa rasmi NAOMBENI nijipange usumbufu uliojitikeza sasa hautojirudia tena.
Let's meet 9 APRIL inshallah.