Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Tusipokuwahi utatusumbua kama de gunner.
Deo Kissndu mpya
Ucwaze mkuu ni jiwe juu ya jiweTunasubiria kitu kwa hamu mkuu.
Ucwaze mkuu ni jiwe juu ya jTunasubiria kitu kwa hamu mkuu.
Kaka Fanya nije nipige show hapo Kwa trumpTunasubiria kitu kwa hamu mkuu.
Hapana ephen_ , mziki ni gharama mambo ya kutoa nyimbo Moja unapotea mwaka mzima sio nikikupigia gharama nilizopewa mkuu, basi tuTusipokuwahi utatusumbua kama de gunner.
Hapana kaka ni Mimi tu nimeamua iwe hivyo sababu, sisi wasanii kinacho tuponza ni tamaa na njaa, huwezi Saini mkataba hujui mkishindwaba mnaachana vipi ndio Yale mambo ya kulipa bilioni mojaI'm not surprised, nilitegemea kuona kitu kama hiki sooner
Hapana kaka nakuandalia kitu kizuri cha muda mrefuDeo Kissndu mpya
Hapana mkuu mambo ya kiudhamini tumeshindwana, siwezi kujifungua kimkataba Kwa mtu kesho nihangaike nianze kisumbua watu wanaichangie si Bora nijichange ni jisimamie mwenyeweMIHADARATI ni kitu kibaya sana
Huyu nilie nae tumeshindwana sidhani kama taka nisimamiwe tenaVipi unataka mdhamini?
Sio hivyo, mziki nao taka kifanya nataka uwe mkubwa, sasa Sina media tour, hakuna influencer yeyote alie shirikishwa Kwa AJILI ya promo, sa nambie huo mziki utaendaje mbele?Tusipokuwahi utatusumbua kama de gunner.