Ungemuuliza konda au watu waliopo apo kituoni ungepata jibu fasta. Ushauri tu. Jaribu ku interact with people on real worldwakuu naomba msaada. kama. ukitokea mwenge kama unataka kwenda eco homes mbezi beach unashuka kituo gani
j'3 ndio natakiwa niende huko mkuu.Ungemuuliza konda au watu waliopo apo kituoni ungepata jibu fasta. Ushauri tu. Jaribu ku interact with people on real world
Ujuaji mwingi! Una hakika gani ha-interract na watu?Ungemuuliza konda au watu waliopo apo kituoni ungepata jibu fasta. Ushauri tu. Jaribu ku interact with people on real world
On real world nakazia...kweli ujuajiUjuaji mwingi! Una hakika gani ha-interract na watu?
Jibu swali alilouliza, kama hujui tembea na bwana
Naona umepanic wewe na sio maunzishaji mada.Ujuaji mwingi! Una hakika gani ha-interract na watu?
Jibu swali alilouliza, kama hujui tembea na bwana
thanks mkuu. God bless youShukia Africana, pale ukikuta jamaa wa Bodaboda omba wakupeleke. Siyo mbali kwa mguu lakini.
Ni njia ile ya kuelekea White Sands. Kabla ya kufika Juliana.
Check kwenye Google Map pia.
View attachment 1516074
Iliyozungushiwa nyekundu ni Africana, na blue ndiyo Eco Homes.
thanks mkuu. God bless you