Naomba ramani ya kwenda Eco homies Mbezi beach

Naomba ramani ya kwenda Eco homies Mbezi beach

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
wakuu naomba msaada. kama. ukitokea mwenge kama unataka kwenda eco homes mbezi beach unashuka kituo gani
 
Ungemuuliza konda au watu waliopo apo kituoni ungepata jibu fasta. Ushauri tu. Jaribu ku interact with people on real world
j'3 ndio natakiwa niende huko mkuu.
 
Ungemuuliza konda au watu waliopo apo kituoni ungepata jibu fasta. Ushauri tu. Jaribu ku interact with people on real world
Ujuaji mwingi! Una hakika gani ha-interract na watu?

Jibu swali alilouliza, kama hujui tembea na bwana
 
Shukia Africana, pale ukikuta jamaa wa Bodaboda omba wakupeleke. Siyo mbali kwa mguu lakini.

Ni njia ile ya kuelekea White Sands. Kabla ya kufika Juliana.

Check kwenye Google Map pia.

20200725_012214.jpg


Iliyozungushiwa nyekundu ni Africana, na blue ndiyo Eco Homes.
 
Duuu nime cheki kwenye google map hiyo Area yute ni kwa wala bata alaund Area
 
Pita kushoto nyonga kulia ..utaua ile kona pale mbele kisha utagusia na ile kona ya kwenda buza utakuwa umefika..
 
Back
Top Bottom