realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 15, 2024 #1 Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani. Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri. Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada. Attachments 3920C619-D121-4139-B423-22790583FE18.jpeg 119.3 KB · Views: 5 7A4D99CA-9FD2-42C1-99F6-05035FF05398.jpeg 59.7 KB · Views: 5
Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani. Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri. Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.