zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
kumpigia kura arabela bonyeza hapa. asante sana kwa kura yako. miaArabela ndio nani mkuu,nipe darasa
Nipo kazini dogo,mwisho wa siku itafahamika.
baada ya utafiti wa kina:
1. Hirizi ya Nyani Ngabu inakaa ku soxy
2.hirizi ya Madame B iko ku kiuno
3. Hirizo ya Chimbuvu kaisahau kwa .erick52, ndo mana kaharibikiwa
4. Hirizi ya Asprin inapumua yenyewe twi twi twi ndo mana cacico na BADILI TABIA wamekimbia ligwaride,si bure..............itaendelea
husika hapo juu.
Nitajie jina mi ntakwambia ameweka wapi, nimeingia humu naona nyota nyota watu walivyopikwa.
husika hapo juu.
Nitajie jina mi ntakwambia ameweka wapi, nimeingia humu naona nyota nyota watu walivyopikwa.
amu umeshapiga kura?
Hivi unajisikiaje kujipresent kizimwi zimwi??