Yamtokayo mtu ndo yamjazayo..inaelekea humu chitchat kuna vigagula vya kielektroniki
Lilian Masilago umenimiss!? Kampigie kura yako arabela awe miss chit chat 2012
zubedayo_mchuzi habari ya sikukuu.
Muzuri kbs hbr ya familia yako
baada ya utafiti wa kina:
1. Hirizi ya Nyani Ngabu inakaa ku soxy
2.hirizi ya Madame B iko ku kiuno
3. Hirizo ya Chimbuvu kaisahau kwa .erick52, ndo mana kaharibikiwa
4. Hirizi ya Asprin inapumua yenyewe twi twi twi ndo mana cacico na BADILI TABIA wamekimbia ligwaride,si bure..............itaendelea
Hbr ya kuamka General
1, 2,,,,,,,,3
hahhhahhahahahahahahahahahhahaahahahhaha hhahahahhahahhahahahahhahahahhah
hahahahahahahahhahaha
Mbeya hawajambo??!!..Unaporudi usisasau matakapera,matoki na ndokanyi.Lilian Masilago umenimiss!? Kampigie kura yako arabela awe miss chit chat 2012
mmmmmhhhh?Haka ka ugonjwa kako waliwahi kuumwa pale msalato girls...
mkeo sindo ananitunzia,muulize kama bado zipo.Umemeza ARV leo?